Tuesday, July 28, 2009

GET TO KNOW MY FAMILY......

Lazma uwe unashangaa kuhusu hilo dole linafanya nini kwenye picha! Well, this is the best latest family pic iliyochukuliwa wakati mama akiwa hai, ndio maana sikutaka kuiedit (cant fix memories). Kutoka kushoto ni Mr. Sikare mwenyewe (MUNENE), Marehemu mama yangu Grace Mwasi Neema Sikare wa Kinesi, bibi mzaa mama, kadogo kangu kananakonifuatia Lucylu na kaka wa pili Joseph. Rest in PEACE mama, love you always! Kama uko bongo tega sikio sikio ukisikia "Barua kwa mama" song ujue ni Albino Fulani hewani nnamuimbia huyu mama kwenye picha. Vile vile kuusikiliza waweza bonyeza hapa.. http://www.bongocelebrity.com/2009/06/15/barua-kwa-mama-albino-fulani/#comments

GET TO KNOW MY FAMILY......


Okay, ngoja nikutambulishe...Kuanzia kushoto ni kaka yetu wa kwanza Ben, kaka wa pili Joseph and mimi!! We unavyoona nafanana na yupi hapa??? Weekend moja tulisafiri kwenda mashambani I mean Southbend, IN hahaha! nyumbani kwa Ben Trust me, tuna cliq just like that!!! Love my brothers!!! I will give you their stories very soon!!!